Sunday 5 April 2009

TUZO BORA ZA KILI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE

Keysha akiwa na mashosti wake baada ya kunyakua Tuzo ya mwimbaji wa kike Bora Hashim Lundenga(kulia) akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee akiwa ameongozana na meneja uhusiano wa Benki ya Starndard Chartered Hoyce Temu
Waganda Blue3 wakifanya mambo

Wanamuziki kutoka Uganda Blue3 wakihojiwa na mtangazaji wa Television ya EATV wasanii hao walifanya onyesho katika tuzo za Kili Music Award jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.

Baraka Shelukindo na wenzake kutoka Multchoice wakifuatilia kwa karibu utoaji wa Tuzo hizo.

Mwanamuziki Chipukizi Angeris kutoka pande za Arusha anayekuja juu kwa sasa akifuatilia kila kilchoendelea ili kujua atoke vipi katika tuzo zinazokuja.

mama wa mitindo asia idarous khamsini (kulia) akiwa na wabunifu khadija mwanamboka na ally rhemtullah walikuwepo kwenye tuzo za kili awards

Nameless toka kenya akipokea tuzo ya muziki bora wa afrika mashariki toka kwa Hoyce Temu


TID akihojiwa na Mwandishi mara baada ya kumwaga mavituzi Jukwaani.

No comments: