Tuesday, 13 January 2009

NANI AMEPENDEZA ZAIDI ?

Kati ya Beyonce na Dawn Richards ambao wote wamevalia Gauni lililobuniwa na "Catherine Malandrino " nani anaonekana kutoka bomba zaidi ya mwingine.
Mdau naomba utuchagulie .........

2 comments:

Anonymous said...

Kama kawaida Beyonce ametoka kinoma cheki shepu !!!

Anonymous said...

mhh...Beyonce look soooooooooooooooo hot no ubishi! she got dat amazingly figure perfection 2 da dress......