Thursday, 21 May 2009

RAIS KIKWETE NA MWAMBA WA SINEMA

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwa ajili ya Afrika mjini Los Angels ambapo Rais Kikwete alitunukiwa tuzo kwa jitihada zake za kuimarisha huduma za afya nchini. Seagal pia ni mwandishi wa miziki na Mtengenezaji wa filamu.

No comments: