Monday, 8 June 2009

HAPAHAPA


Mwanamuziki wa Bendi ya B. Band Banana Zorro kushoto akiwa na wanamuziki wenzie Carola Kinasha wa Shada Band na Siz Azizi wa B. Band hii ilikuwa ni kabla ya kupanda jukwaani kwenye shoo iliofanyika coco beach.
wanamuziki hawa wate walishiriki katika kurekodi Albam ya Mseto wa hapahapa iliyozinduliwa jana.

No comments: