Saturday, 25 July 2009

MISS REDDS KINONDONI 2009 WACHUANA SHINDANO LA VIPAJI


Warembo watano walioingia katika nusu fainali ya shindano la Vipaji ambapo mshindi atatangazwa katika fainali za shindano la Redds Miss Kinondoni 2009 zitakazofanyika ijumaa ya wiki ijayo tarehe 31 Agosti pale Mlimani City, shindano hili la vipaji lilifanyika jana usiku kwenye hoteli ya New Africa.

1 comment:

Anonymous said...

Kinondoni 2009 has a good line up of Beauties !!!!!!!
Good luck to all of you ........