Monday 20 July 2009

REDDS MISS TEMEKE 2009

Warembo wa miss watakaoshiriki shindano la Redds Miss Temeke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazoezi yanayoendelea TCC Sigara Chang'ombe. shindano hilo litafanyika tarehe 1 mwezi ujao hapoahapo TCC Sigara, Shindano hilo linadhaminiwa na Redds premium Cold , Vodacom, Aurora Security, Gazeti la Jambo Leo, 88.4 Clouds Fm, Mariedo Boutique, Valley Sping, Sophia Records, Raque Studio, Renzo Saloon, Mbunifu Ally Remtullah, Screen Masters tiketiza VIP zinauzwa ELFU 50,000

No comments: