Thursday, 8 October 2009

MTANZANIA KWENYE BIG BROTHER AFRICA

Leo ni siku ya 31 kati ya siku 90 za washiriki kukaa ndani ya jumba la BBA. Mambo yaonekana kuendelea kunoga siku hadi siku na safari hii mwakilishi wa Tanzania Elizaberth Gupta amewekwa kikaangoni...anapigiwa kura ya kutoka..shime watanzania tumuokoe mwakilishi wetu asitolewe kwa kumpigia kura kwa kutuma sms kwa wingi, kwa kuandika neno VOTE ELIZA kisha tuma kwenda namba 15726.


No comments: